Tuesday, December 16, 2008

Nape amwaga UV-CCM?

NAPE Nnauye, mwanasiasa mahiri nchini, ameangukia pua. Mafisadi yamemzidi kete. Harakati zake za kugombea uongozi ndani ya chama chake zimegonga mwamba; hata pale alipotaka kumuunga mkono mgombea wake, Hussen Bashe, jitihada hizo zimepigwa mweleka na mafisadi. Je, huo ndiyo mwisho wa Nape kisiasa?

No comments: