Tuesday, December 16, 2008

Ngereja kumfuta Mramba/Yona/ Mgonja


SERIKALI imetangaza azima yake ya kununua mitambo ya kuzalisha umeme wa dharula kutoka kampuni ya kitapeli ya Dowans ambayo mpaka sasa serikali haijataja mmiliki wake. Je, huku ni kutafuta fedha za kampeni maana tumeambiwa kwamba Richmond na dada yake ni mali ya Rostam Aziz.

No comments: