Saturday, April 5, 2008

Uholanzi yatinga MwanaHALISI


BALOZI wa Uholanzi nchini, ametembelea gazeti la MwanaHALISI na kukutana na uongozi wa gazeti hilo, Saed Kubenea Mhariri Mtendaji na Jabir Idrissa, Mhariri mkuu wa gazeti hilo.
Ziara ya Balozi ililenga kuwapa pole Kubenea na Ndimara Tegambwage, walioshambuliwa na mafisadi katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Kinondoni, Dar es Salaam.

No comments: