Friday, April 4, 2008

Maiti hii kufukuliwa

Hatimaye mwili wa marehemu Paulo Goliama (40) ambao ulikuwa unagombewa kati ya ndugu zake ambao ni waumini wa Kikristo na wauminu wa Kiislamu, umepata ufumbuzi ambao unaweza ukawa wa muda, kutokana na hatua ya Waislamu kung'ang'ana kwamba wataka rufaa kupinga hukumu iliyowapa ushindi Wakiristo.

Mazishi ya Paulo yalifanyika jana majira ya 8 mchana katika makaburi ya Sinza, Dar es Salaam.

No comments: