Sunday, April 6, 2008

Pinda akutana na wafanyakazi wa Reli

Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli nchini, leo wamekutana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kile kinachoitwa kujaribu kumaliza mpasuko wao na uongozi. Je, Pinda atafanikiwa kula mfupa uliowashinda wenzake? Ngoja tuone!

No comments: