Friday, March 14, 2008

Shekh Simba alazwa Hospitali

Yule kiongozi wa Bakwata, moja ya taasisi za Kiislamu ambazo zamani zilikuwa na nguvu sana, anafanyiwa mipango ya kupelekwa India kwa matibabu. Shekh Simba kwa sasa amelazwa katika hospitali KAM-Medical Center & Laboratory Service iliyopo mjini Arusha kutokana na kusumbuliwa na kisukali.Kwa niaba yangu binafsi, namuombea Shekh Simba ahueni ili arudi nyumbani mapema kujenga jumuiya yake inayokwenda mrama. Amin

1 comment:

Anonymous said...

This comment has been removed because it linked to malicious content. Learn more.