Saturday, March 15, 2008

Kikwete atatokea mlango upi?

CCM itashinda vita ya ufisadi? Mbona inasemekana fedha hizi ndizo zilizotumika katika uchaguzi uliomuweka madarakani, Jakaya Kikwete?

1 comment:

Mama Ushauri said...

Yes, si ndio maana hachukui hatua yoyote! Kama amefikia hatua ya kuzaa na wadogo wa mafisadi, what do u expect? asaliti watoto wake mwenyewe? tunacheza waTanzania.