Tuesday, February 12, 2008

Mwakyembe amchinja Lowassa

Dk. Harrison Mwakyembe, mbunge wa Kyela akitoka katika ukumbi wa Bunge, muda mfupi baada ya kumchinja Waziri Mkuu, Edward Lowassa, mjini Dodoma Alhamisi ya Februari 7, mwaka 2008. Aliongozana na mbunge mwenzake wa Mbeya, Mwambulaso.

No comments: