Tuesday, February 12, 2008

Baraza la JK

Kikwete ametangaza baraza jipya la mawaziri, huku akirudisha maswahuba zake na mafisadi. Fisadi mkubwa Chenge, bado anatesa katika baraza la JK. Lakini pia watu wasio na uwezo na waliolifikish ataifa hili mahali pagumu, kama Lau masha, naye yumo katika baraza hili.

No comments: