Friday, January 25, 2008

Tumekuja kukujulia hali


BALOZI wa Tanzania nchini India John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hawa Gasia, wakimfariji Mhariri Mtendaji wa gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea aliyekuwa akipata matibabu katika hospitari ya Apollo, nchini India.
Kubenea alikuwa nchini humo akipata matibabu ya macho kutokana na kumwagiwa Tindikali 5 Januari, 2008 alipovamiwa akiwa na mwandishi wa habari mkongwe, Ndimara Tegambage.
Tukio hilo lilitokea katika ofisi za gazeti hilo, Kinondoni Dar es Salaam.

No comments: