Saturday, January 26, 2008

TISHIO JIPYA KWA WANAHABARI


WIKI tatu baada ya majambazi kuvamia ofisi za gazeti la MwanaHALISI na kuwajeruhi kwa mapanga na Tindikali, wafanyakazi wawili wa magazeti hayo (Ndimara Tegambwage na Saed Kubenea), jana majambazi hayo yalimteka nyara mwandishi wa habari wa magazeti ya kampuni ya IPP,Mwanaidi Sweed.

Tukio hilo lilitokea jana 25 Januari, 2008. Swali la kujiuliza: Visa hivi vinaashiria nini? Je, ni mwanzo mpya wa uvamizi katika vyombo vya habari?

No comments: