Saturday, January 26, 2008

KUFAULU KUPO HAPA?


WANAFUNZI hawa wa shule ya Secondari ya Bugamba iliyopo katika wilaya ya Kigoma Vijijini, mkoani Kigoma, wakila kitabu katika ghetto lao walilopanga kutokana na shule yao kutokuwa na mabweni na wao wanaishi mbali na shule. Shule hiyo ina mwalimu mmoja tu wa kuajiriwa na sita (6) walio katika majaribio . Picha na Edwin Mjwahuzi. Imechukuliwa katika Blog ya Yahaya Charaharani:

No comments: