Friday, October 5, 2007

MTIKILA AKIMWAGA SERA


Mchungaji Mtikila, akihutubia moja ya mikutano yake ya kampeni mjini Dar es Salaam katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Je, kwa utitiri huu wa watu nani atakayemzuia kuingia Ikulu?

No comments: