Thursday, January 8, 2009

Kubenea arejea nyumbaniMkurugenzi Mtendaji na Mhariri Mtendaji wa gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea, amerejea nchini na anasema, "nimekuja kupambana na mafisadi."

Kubenea alikuwa nchini India katika hospitari ya Apollo alikokuwa anatibiwa macho kutokana na kumwagiwa tindikali baada ya kuvamiwa ofisini kwake 05 Januari 2008. Katika shambulio hilo, Kubenea alikuwa pamoja na mshauri wa kitaaluma wa gazeti hilo, Ndimara Tegambwage.

No comments: