Tuesday, December 30, 2008

Buriani Zeyana Seif
Zeyana Seif alikuwa mmoja wa watangazaji wa kwanza wa kike katika Idhaa ya Kiswahiri ya Radio BBC-Uingereza. Hapa ilikuwa mwaka 1959.

1 comment:

Subi said...

Pumzika pema da Zeyana!
Niliipenda sauti yake wakati wa kusoma taarifa za habari!