Monday, June 16, 2008

Chenge anfanya Mwakyembe

Hapa Dodoma habari zimeenea kwamba aliyenyunyizia vitu katika ukumbi wa Bunge, ni Andrwe Chenge, mmoja wa watu waliotajwa katika ufidasi. Spika wa Bunge, Samwel Sitta amethibitisha kwamba mmoja wa wabunge na ofisa katika ofisi ya Bunge, wanahojiwa. Hakusema kama mbunge huyo ni Chenge. Lakini taarifa za ndani zinasema, aliyehojiwa ni Chenge.

No comments: