Saturday, January 26, 2008

Kutoka Ugava hadi benchi


HUYU hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa akikaimu nafasi ya Gavana ndani ya BoT wakati ambapo Ganava Daud Balali, alikuwa hayupo kazini. Anaitwa Amatus Liyumba.

Lakini sasa amefyekwa na panga la gavana mpya. Je, ataweza kuhimili vishindo vya kuwekwa benchi?

No comments: