Monday, November 19, 2007

KAONDOKA ROSTAM, KAINGIA AZIZI


Unajua kwamba Rostam Aziz jaondoka CCM? Unajua kwamba mizizi yake bado imo?

15 comments:

Richard Moses said...

Kwa kweli nimefurahishwa na mjadala huu. Lakini nadhani haya ni mambo yale yale ya kina Slaa, yule mzee aliyeishika pabaya serikali.
Simfahamu vizuri Kubenea, lakini nijuavyo mimi amepata elimu yake ya Sekondari huko Zanzibar ambapo alimaliza mwaka 1991.
Lakini Sekondari au chuo si muhimu, muhimu ni ufahamu na uwezo wa mtu kujua na kuchambua mambo. Kama kweli Kubenea hajasoma kiasi hicho, lakini anafanya kazi kubwa kiasi hiki, basi anastahili pongezi.
Ni vema tukajitazama kati ya kuhesabu madarasa na kuelimika. Inaonekana Kubenea ameelimika, maana kazi anazozifanya zinashinda zile za Maprofesa na Dk.

Anonymous said...

acha jibu mwenyewe, au ndiye yeye bwana mkatambuga anayejibu kwa kutumia majina ya wengine. Mjue kuwa mkichimba wengine, hata ninyi mtachimbwa. Mnawasema wengine, nanyi sasa toeni majibu. Acheni visingizio vya kitotooooooooo

Anonymous said...

yaani vyeti si muhimu? Hivi wajinga wote wakiamua kuandika na kuvisha watu magwanda, nchi hii si italipuka? unatufanya tuamini yanayosemwa! kuna JIPYA. eTI Mkatambuga ni shoga?

Richard Moses said...

Vyeti si muhimu, muhimu ni ufahamu. Wengapi wenye vyeti lakini hawafahamu? Kuhusu suala la Makamba, huo nao ni uzushi mwingine. Mimi sitaki kujadili uzushi kama huo.

Anonymous said...

Weye hujamjua huyu. Kibaraka mkubwa anafilwa kila kukicha. Msenge huyu shoga ndiye anajifanya kinara wa uandishi kumbe hata darasa la saba hakumaliza.

Ni kwa uzushi wake huo alitaka kukimbilia nje ya nchi akidai ni mkimbizi wa kisiasa wakamtoa nishai.

Mdokozi mkubwa nimekua naye mitaani, mara ya mwisho Kubenea aliiba CD nyumbani kwa Hamad Rashid na urafiki wake ukaingia dosari. Huyu, waseme wengine si yeye.

Mkuu said...

Kusoma muhimu nyieee!!

Anonymous said...

Kumbe Mwanahalisi ni la Kihiyo na mtu wa kujilipua. Nashukuru teknolojia hii kwa kuniwezesha kumjua huyu fala anayeishambulia serikali. Kumbe anafanya hivyo kwa sababu hana elimu-mdokozi na kuwadi wa mabwana waliompa mtaji wa kuandika ujinga.

Anonymous said...

Nyie wote mnomtukana Said Kubenea, mna matatizo tena ni mafisadi wakubwa. Ndiyo mana roho zinawauma namna hiyo mana anagusa ulaji wa baba zenu. Endele Sed sisi tunafurahishwa sana na Makala zako za ukweli unazotoa kila siku. Unatufungua macho. Viva!!! Eti anafirwa, kafirwe na wewe kama unataka. Bravo Saed.

Anonymous said...

He, huyu katoka wapi yarabi!!! Matusi yote haya ya nini? Inaezekana anayejibu ujinga huu ni kubenea. Watu wameshajua uwezo wa darasa lake la saba haufui dafu. Bwanake Lipumba kamtelekeza, sasa Gachuma anakula denda! Kote aibe, lakini kwa mkurya akicheza atamkata kichwa kwa sime. ujinga ujinga tu

Anonymous said...

WEE ACHA KUMSHAMBULIA HUYU. ANA AKILI MBOVU, KESHO ATAANDIKA ANATISHIWA KUUAWA. ULISOMA ETI AJALI YA MBATIA MLENGWA ALIKUWA ZITTO? MWANDISHI MWENYE AKILI ATAJIANDIKIAGA MAUJINGA KAMA HAYO? LITAANDIKA KWAMBA LINATISHIWA MAISHA. LIACHENI.
BY KONGOSHO

Anonymous said...

Wote nyie hamna mpya, semeni tu kawashtukia anga zenu ndo manapatwa na hasira. Na bado atafichua mengi tu mtaipata mwaka huu mafisadi wakubwa nyie. Msumari huo umewachoma kotekote!!!

Anonymous said...

ACHENI KUCHANGIA MAONI PUMBA NYIE MAKUWADI WA ROSTAM

Anonymous said...

Kubenea, usikatishwe tamaa na hawa wapuuzi ambao hawajui kujenga hoja wanaanza kutukana. Hoja ijibiwe kwa hoja na siyo kutoa lugha za matusi kama hizi.Nyie mnaosema Kubenea hajakwenda shule tuelezeni mmelifania nini taifa hili na wananchi wake, yeye kubenea mnasema hana shule lakini si huyu mchango wake kwa jamii unaonekana. Watu wangapi wamesomeshwa na kodi za wanchi tena wanaelimu kubwa laki ndiyo wamekuwa vinara wakuitumbikiza nchi shimoni?
Kama mnampinga Kubenea kwa Hoja tutawaelewa lakini kwa lugha zenu hizi za mitaani ndiyo kwanza tunawapuuza. Na kama nyie mnajiamini ni wasafi, mnahoja za msingi na mnauchungu na taifa letu tajeni majina yenu tuwajue siyo mnaficha.
Anayewashwa na makala za kubenea na yeye aandike makala za kumjibu kwa hoja na kisha pelekeni katika magazeti mengine zitachapishwa siyo mnaishia kubwabwaja.
Tuhuma hizo mlizoielekeza kwake sisi wananchi wenyekuheshimu mchango wa wanahabari wa nchi hii hatuziamini na tunaamini zimetolewa na watu ambao wameumizwa na kalamu ya Kubenea.
Kubenea tupo nyuma yako, usichoke kuandika kwani hata yesu alijitolea kuwasaidia wanadamu lakini walimbeza.
Na shime kwa wanahabari wote andikeni bila ya kuwajali hawa wapuuzi wachache wanaobwabwa. Na ninajiuliza siku zote hizo walikuwa wapi kutoa tuhuma hizo na wanashindwa nini kwenda kwenye magazeti ya udaku kupeleka taarifa hizo ilizifanyiwe kazi na ukweli ubainike.Na kama anafanya vitendo hivyo sisi havituhusu kwani niviongozi wangapi serikali wanatuongoza wanakabiliwa na tuhuma hizo ambazo baadaye zimekuja kugundulika kwamba walikuwa wanapakwa matope.
Na Watanzania mbadilike hii nchi ni yetu sote na mwandishi kuikosoa serikali siyo kwamba aipendi, anaipenda ndiyo maana anaamua kujitokeza adharani kufichua ufisadi, mapungufu na kushauri na hata April mwaka huu Rais wetu Kikwete, alisema yupo tayari kukosolewa na hataki watu wageuke kumkingie kifua kwani kitendo hicho hakimsaidii kinamjaza ujinga.
Sasa nyie mliotukana hapo juu ndiyo nyie aina hiyo ambayo rais amekataa.
Baba Mwenyenyumba Kikwete alishasema yupo tayari kukosolewa na kupewa ushauri sasa nyie mnawashwa nini kama anakosolewa kwa haja?Huo ni ukuadi usiyo nampango na kama vyeo vimeishaisha mtakula jeuri yenu mtaendelea kushika mapembe maziwa wanakunywa wengine.
By.Happiness Joachim

Mobini sarya said...

mh kama ndio hivi nashindwa hata kuchangia ,yaani mmekosa chochote wanaume wazima mnatoa matusi halafu mnaficha majina yenu bila kujua kuwa hata wanenu wasoma nyie.

muungwana ni vitendo kama huna hoja usilete vioja usijechekwa

Anonymous said...

Lakini Matusi yanini? Changieni hoja .Tatizo la kusoma sio gari la kumfikisha mtu mahali pa mafanikio. Na uelewa wa mtu ana zaliwa nao elimu inaongeza au kuamsha! saed Kubenea endelea na kazi hiyo Mungu amekupa fimbo ya kuwachapa hao mafisadi tumika mtu wangu utalipwa na watanzania maana wameporwa mali zao, fikiria kabla hajafa Mwl Nyerere maisha yalikuwa afadhali sana, sukari sh 400 kwa kilo moja le0 1200 kwa kilo hawa wameiba sana ndani ya mabenki yetu inflation imekuwa kubwa sana