Friday, March 28, 2008

Radi ya Nyerere kuwapiga CCM.


Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wamekwenda katika kabuli la Hayati Baba wa taifa, Mwalimu Juluis Kambarage Nyerere na kumdhihaki kutokana na wengi wao kuwa mafisadi. Katika mazingira hayo, RADI ya Nyerere haitashuka na kuwasambaratisha w?

1 comment:

Anonymous said...

Ningeiandika kama ifuatavyo
'Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wamekwenda katika KABURI la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Juluis Kambarage Nyerere, kumdhihaki kutokana na wengi wao kuwa mafisadi. Katika mazingara hayo, RADI ya Nyerere ITASHUKA na kuwasambaratisha wote'