tag:blogger.com,1999:blog-6514197457562830733.post9152870593157312422..comments2023-09-20T00:51:07.286-07:00Comments on MKATAMBUGA: Mkulo tutajie mafisadi waliorejesha fedha za EPAUnknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6514197457562830733.post-17770436575190219132008-03-12T07:24:00.000-07:002008-03-12T07:24:00.000-07:00hili suala mimi nilishakata tamaa,toka siku ya kwa...hili suala mimi nilishakata tamaa,toka siku ya kwanza niliposikia Rais ametangaza Tume ambayo ina viongozi wa juu kabisa katika vyombo vya usalama.Lengo kubwa ni kuficha siri ambayo wote wanaijua kwamba fedha za EPA,ZILITUMIKA KATIKA UCHAGUZI na sio huu wa Kikwete, bali toka vyama vingi vianze CCM ndio walikuwa wanachota huko. Ndio maana hata mzee Mwinyi akasema muda ukifika atasema,kwani anaelewa kila kitu.jambo la kushangaza ni kwanini hayo makampuni ambayo yametajwa na kampuni ya ukaguzi yamechota mapesa yasipelekwe mahakamani? nilitegemea Rais baada ya kupata taarifa ya ukaguzi angewakabidhi Polisi ili WASHITAKIWE wote mahakamani.Sasa hivi wanatuambia pesa zinarudi kwa cheki wanashindwa kujua nani karudisha, je hizi cheki anasaini nani? wanadebiti Akaunti ya nani? basi watutajie hata hao wahasibu wanao saini tuwajue! kama cheki hazijulikani maana yake hata pesa huwezi kulipwa,maana ili ulipwe inabidi wewe mlipwaji ujaze pay slip uandike jina lako unaye lipwa,anayekulipa,na tawi lake!!!<BR/>HII NIDANGAYA TOTO PESA HAZIJARUDI,NA BWANA KUBENEA NIMESOMA LEO KWENYE GAZETI WAHARIRI MNAITWA,TUNAJUA MNAITWA KUNYAMAZISHWA, TUNASUBULI BAADA YA KIKAO HICHO MAMBO YA EPA YATAENDELEA???Anonymousnoreply@blogger.com