Thursday, February 14, 2008

Kauli maridhawa ya Pinda


Mimi ni mtoto wa mkulima, ni mtoto wa kwanza katika familia yetu ya watoto tisa. Wazazi wangu wakishasikia watashangaa... Mimi ni Pinda yuleyule. Nini maana ya kauli hii?

1 comment:

Anonymous said...

Hongera kwa kazi nzuri Said Kubenea.

Umepata sifa leo saa sita mchana Bungeni toka kwa Mheshimiwa Godfrey Weston Nzambi, Mbunge wa Mbozi Mashariki, CCM wakati akitoa hoja kuchangia mjadala wa Richmond.